NEMACHA EXECUTIVE LODGE

Lodge · Manundu, Korogwe Town, Tanga

NEMACHA EXECUTIVE LODGE

About this stay

Nemacha Executive Lodge – Korogwe, Tanga

Nemacha Executive Lodge ni lodge ya kisasa inayopatikana katika Mji wa Korogwe, Mkoa wa Tanga, umbali wa takribani mita 30 tu kutoka Barabara Kuu ya kuelekea Arusha.

Lodge hii inakupa huduma bora za malazi katika vyumba vya kisasa, vipana, safi na vyenye starehe kwa bei rafiki. Kuna vyumba vyenye kiyoyozi (AC) na vingine vyenye feni, kulingana na mahitaji na bajeti yako.

Iwe unasafiri kikazi, unapita kuelekea Arusha au unahitaji sehemu tulivu ya kupumzika, Nemacha Executive Lodge ni chaguo sahihi kwa malazi yenye faraja, urahisi na thamani ya pesa yako.

Amenities

  • WiFi
  • AC
  • 24h Reception
  • Working table with office chair
  • Verified High-Speed Wi-Fi
  • Breakfast
  • Hotshower
  • Backup Generator / Solar
  • Air Conditioning
  • TV
  • Room Service
  • Parking
  • Restaurant

Rooms

  • MOSHI

    MOSHI

    Up to 2 guest(s)

    TZS 25,000 / night

    Chumba cha kisasa chenye Kitanda 5*6, Feni pekee, meza ya kufanyia kazi, Maji ya Moto muda wote. Breakfast inatolewa kwa mteja wetu.

  • RUVUMA

    RUVUMA

  • KILIMANJARO

    KILIMANJARO

    Up to 2 guest(s)

    TZS 25,000 / night

    Chumba cha kisasa chenye Kitanda 5*6, Feni pekee, meza ya kufanyia kazi, Maji ya Moto muda wote. Breakfast inatolewa kwa mteja wetu.

  • LINDI

    LINDI

  • TANGA

    TANGA

  • DODOMA

    DODOMA

  • SHINYANGA

    SHINYANGA

    Up to 2 guest(s)

    TZS 25,000 / night

    Chumba cha kisasa chenye Kitanda 5*6, Feni pekee, meza ya kufanyia kazi, Maji ya Moto muda wote. Breakfast inatolewa kwa mteja wetu.

  • KATAVI

    KATAVI

  • Mtwara

    Mtwara

    Up to 2 guest(s)

    TZS 30,000 / night

    Chumba cha kisasa chenye Kitanda 5*6, AC, meza ya kufanyia kazi, Maji ya Moto muda wote na Kipana. Breakfast inatolewa kwa mteja wetu.

  • IRINGA

    IRINGA

    Up to 2 guest(s)

    TZS 30,000 / night

    Chumba cha kisasa chenye Kitanda 5*6, Feni pekee, meza ya kufanyia kazi, Maji ya Moto muda wote. Breakfast inatolewa kwa mteja wetu.

  • Singida

    Singida

    Up to 2 guest(s)

    TZS 30,000 / night

    Chumba cha kisasa chenye Kitanda 5*6, AC, meza ya kufanyia kazi, Maji ya Moto muda wote na Kipana. Breakfast inatolewa kwa mteja wetu.

  • Dar es Salaam

    Dar es Salaam

    Up to 2 guest(s)

    TZS 30,000 / night

    Chumba ni safi, Kina kitanda 5*6, Kina ACna eneo tulivu sana; Breakfast inatolewa.

  • Manyara

    Manyara

    Up to 2 guest(s)

    TZS 30,000 / night

    Chumba cha kisasa chenye Kitanda 5*6, AC, meza ya kufanyia kazi, Maji ya Moto muda wote na Kipana. Breakfast inatolewa kwa mteja wetu.

  • Mwanza

    Mwanza

  • Songea

    Songea

  • Njombe

    Njombe

  • Arusha

    Arusha

  • Bukoba

    Bukoba

  • Mbeya

    Mbeya

    Up to 2 guest(s)

    TZS 30,000 / night

    Chumba ni safi, Kina kitanda 5*6, Kina AC na eneo tulivu sana; Breakfast inatolewa bei hiyo hiyo ya chumba.

  • Morogoro

    Morogoro

    Up to 2 guest(s)

    TZS 30,000 / night

    Chumba ni safi, Kina kitanda 5*6, Kina AC na eneo tulivu sana; Breakfast inatolewa kwa wateja wetu. Karibu Nemacha Executive

  • Tabora

    Tabora

    Up to 2 guest(s)

    TZS 30,000 / night

    Chumba ni safi, Kina kitanda 5*6, Kina AC na eneo tulivu sana; Breakfast inatolewa

House rules

No Smoking in the rooms

Observe the check in and check out time

Contact the hotel manager for any further inquiries

Food are provided by order only

Location

Bima , Manundu, Korogwe Town, Tanga, Tanzania

Check availability & book