Dream Lodge

Lodge · Muriet, Arusha City, Arusha

Dream Lodge

About this stay

Karibu Dream Lodge , lodge ya kisasa iliyopo katikati ya Jiji la Arusha, Barabara ya East Africa, mita 500 kutoka barabara kuu ya East Africa, ikikupa huduma bora kwa be nafuu sana, ipo eneo tulivu, na huduma bora zinazokidhi mahitaji ya kila mgeni. Vyumba vyote ni self Contained.

Furahia malazi ya kiwango cha juu katika mazingira safi na tulivu, yanayokupa nafasi ya kupumzika kikamilifu baada ya siku ndefu ya safari au shughuli zako. Huduma zetu zimeandaliwa kwa uangalifu ili kuhakikisha unapata furaha.

Dream Lodge:

Vyumba vya kisasa na vyenye utulivu

Chakula kitamu na vinywaji vya aina mbalimbali (Kwa order)

Maegesho salama na Karibu na Barabara ya East Africa

Ukiwa Dream Lodge, ujihisi upo nyumbani.

Amenities

  • 24h Reception
  • Home-cooked meals
  • Shared Kitchen
  • Hotshower
  • Breakfast
  • Working table with office chair
  • Room Service
  • TV
  • Host on property
  • Parking

Rooms

  • Dream Room4

    Dream Room4

    Up to 2 guest(s)

    TZS 22,000 / night

    Chumba cha kisasa chenye kitanda cha 5×6, kikikupa utulivu, usafi na faraja kwa bei rafiki. Kina meza ya kufanyia kazi, mwanga mzuri wa asili, pamoja na mazingira tulivu yanayofaa kupumzika au kufanya kazi.

    Furahia huduma ya chakula kwa oda ukiwa ndani ya chumba, pamoja na ukarimu wa hali ya juu unaokufanya ujisikie nyumbani; Meza nzuri ya kufanyia kazi.

  • Dream Room5

    Dream Room5

    Up to 2 guest(s)

    TZS 22,000 / night

    Chumba cha kisasa chenye kitanda cha 5×6, kikikupa utulivu, usafi na faraja kwa bei rafiki. Kina meza ya kufanyia kazi, mwanga mzuri wa asili, pamoja na mazingira tulivu yanayofaa kupumzika au kufanya kazi.

    Furahia huduma ya chakula kwa oda ukiwa ndani ya chumba, pamoja na ukarimu wa hali ya juu unaokufanya ujisikie nyumbani. Pia kuna Meza na Kiti kwa ajili ya kufanyia kazi.

  • Dream Room_6

    Dream Room_6

    Up to 2 guest(s)

    TZS 22,000 / night

    Chumba cha kisasa chenye kitanda cha 5×6, kikikupa utulivu, usafi na faraja kwa bei rafiki. Kina meza ya kufanyia kazi, mwanga mzuri wa asili, pamoja na mazingira tulivu yanayofaa kupumzika au kufanya kazi.

    Furahia huduma ya chakula kwa oda ukiwa ndani ya chumba, pamoja na ukarimu wa hali ya juu unaokufanya ujisikie nyumbani.

  • Dream Room7

    Dream Room7

    Up to 2 guest(s)

    TZS 22,000 / night

    Chumba cha kisasa chenye kitanda cha 5×6, kikikupa utulivu, usafi na faraja kwa bei rafiki. Kina meza ya kufanyia kazi, mwanga mzuri wa asili, pamoja na mazingira tulivu yanayofaa kupumzika au kufanya kazi.

    Furahia huduma ya chakula kwa oda ukiwa ndani ya chumba, pamoja na ukarimu wa hali ya juu unaokufanya ujisikie nyumbani. Pia kuna Meza na Kiti kwa ajili ya kufanyia kazi.

  • Dream Room8

    Dream Room8

    Up to 2 guest(s)

    TZS 22,000 / night

    Chumba cha kisasa chenye kitanda cha 5×6, kikikupa utulivu, usafi na faraja kwa bei rafiki. Kina meza ya kufanyia kazi, mwanga mzuri wa asili, pamoja na mazingira tulivu yanayofaa kupumzika au kufanya kazi.

    Furahia huduma ya chakula kwa oda ukiwa ndani ya chumba, pamoja na ukarimu wa hali ya juu unaokufanya ujisikie nyumbani. Pia ina Meza na kiti kwa ajili ya kufanyia kazi.

  • Dream Room1

    Dream Room1

    Up to 2 guest(s)

    TZS 27,500 / night

    Chumba cha kisasa chenye kitanda cha 5×6, kikikupa utulivu, usafi kwa bei rafiki. Kina meza ya kufanyia kazi, mwanga mzuri wa asili, pamoja na mazingira tulivu yanayofaa kupumzika au kufanya kazi.

    Furahia huduma ya chakula kwa oda ukiwa ndani ya chumba, pamoja na ukarimu wa hali ya juu tunao kufanya ujisikie uko nyumbani, Choo ni cha kukaa.

  • Dream Room2

    Dream Room2

    Up to 2 guest(s)

    TZS 27,500 / night

    Chumba cha kisasa chenye kitanda cha 5×6, kikikupa utulivu, usafi na faraja kwa bei rafiki. Kina meza ya kufanyia kazi, mwanga mzuri wa asili, pamoja na mazingira tulivu yanayofaa kupumzika au kufanya kazi.

    Furahia huduma ya chakula kwa oda ukiwa ndani ya chumba, pamoja na ukarimu wa hali ya juu unaokufanya ujisikie nyumbani; Meza na Eneo la kufanyia kazi

  • Dream Room3

    Dream Room3

    Up to 2 guest(s)

    TZS 27,500 / night

    Chumba cha kisasa chenye kitanda cha 5×6, kikikupa utulivu, usafi na faraja kwa bei rafiki. Kina meza ya kufanyia kazi, mwanga mzuri wa asili, pamoja na mazingira tulivu yanayofaa kupumzika au kufanya kazi.

    Furahia huduma ya chakula kwa oda ukiwa ndani ya chumba, pamoja na ukarimu wa hali ya juu unaokufanya ujisikie nyumbani; Eneo zuri la kufanyia kazi lenye utulivu!

Location

Muriet, Arusha City, Arusha, Tanzania

Check availability & book